Nenda kwa yaliyomo

Lalla Salma wa Moroko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lalla Salma wa Moroko
Nchi moroko

Lalla Salma (Salma Bennani, amezaliwa 10 Mei 1978) ni malkia wa Moroko. Ameolewa na Mfalme Mohammed VI, na ni mke wa kwanza wa mtawala wa Moroko kutambuliwa hadharani na kupewa cheo cha kifalme.

Kwa kuwa hajaonekana na vyombo vya habari tangu Desemba 2017, imedaiwa kuwa wanandoa hao wametalikiana. [1] 

Maisha ya mapema na elimu[hariri | hariri chanzo]

Salma Bennani alizaliwa huko Fez, ingawa baadhi ya vyanzo vinataja Marrakech kama mahali pake pa kuzaliwa. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Brittani Barger (14 Aprili 2018). "What's next for Princess Lalla Salma after rumoured divorce from the Moroccan King?".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "RWB" (kwa Kifaransa). Reporters sans frontières (Morocco)/VSD. 7 Machi 2002. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Desemba 2003. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2015. yaume bruisse de l'événement à venir. Courant mars, sa majesté Mohammed VI se mariera. L'heureuse élue, Salma Bennani, est une jeune femme de 25 ans, native de Fès et issue de la haute bourgeoisie.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lalla Salma wa Moroko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.