Nenda kwa yaliyomo

Siberia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tt:Seber
 
(marekebisho 46 ya kati na watumizi wengine 27 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Siberia Federal Subjects.png|thumb|right|250px|Eneo la Siberia: nyekundu yote; Jimbo la Siberia ndani ya shirikisho la Urusi: nyekundu nyeusi]]
[[Picha:Siberia Federal Subjects.png|thumb|right|450px|Eneo la Siberia: nyekundu yote; Jimbo la Siberia ndani ya shirikisho la Urusi: nyekundu nyeusi.]]
'''Siberia''' (kwa [[Kirusi]]: Сиби́рь, ''Sibir''; kwa [[Kitartari]]: Seber) ni eneo kubwa [[mashariki]] mwa [[Urusi]]. Ni zaidi ya [[nusu]] ya eneo la Urusi wote. Eneo lake lote ni [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 9.6 ambayo ni karibu sawa na [[Ulaya]] yote (km² milioni 10.6).


== Maana ya Siberia ==
'''Siberia''' ([[Kirusi]]: Сиби́рь, ''Sibir''; Kitartari: Seber) ni eneo kubwa katika mashariki ya [[Urusi]].

==Maana ya Siberia==
Kuna namna mbalimbali ya kutaja mipaka ya "Siberia".
Kuna namna mbalimbali ya kutaja mipaka ya "Siberia".
* Kijiografia mara nyingi "Siberia" yamaanisha sehemu ya Kiasia ya Urusi. Kwa maana hii eneo lake ni kubwa sana ni linajumlisha Asia ya Kaskazini yote.
* [[Jiografia|Kijiografia]] mara nyingi "Siberia" inamaanisha sehemu ya Kiasia ya Urusi. Kwa maana hiyo eneo lake ni kubwa sana, linajumlisha [[Asia ya Kaskazini]] yote.
* Kisiasa ni sehemu tu ya eneo hili (tazama ramani). Kwa maana hii Siberia ni jimbo la shirikisho la Urusi. Kisiasa [[Ural (jimbo)|Ural]] na [[Mashariki ya Mbali (jimbo)|Mashariki ya Mbali]] ni majimbo ya pekee.
* [[Siasa|Kisiasa]] ni sehemu tu ya eneo hili (tazama ramani). Kwa maana hii Siberia ni [[jimbo]] la [[shirikisho la Urusi]]. Kisiasa [[Ural (jimbo)|Ural]] na [[Mashariki ya Mbali (jimbo)|Mashariki ya Mbali]] ni majimbo ya pekee.

Mipaka ya Siberia ya kijiografia ni safu ya [[milima ya Ural]] upande wa magharibi, [[bahari ya Aktika]] kwa kaskazini, [[Pasifiki]] katika Mashariki na nchi za [[Kazakhstan]], [[Mongolia]] na [[Uchina]] upande wa kusini. Siberia ni zaidi ya nusu la eneo la Urusi wote. Eneo lote ni [[kilomita za mraba]] milioni 9.6 ambayo ni karibu sawa na Ulaya yote (milioni 10.6 km²).


Mipaka ya Siberia ya kijiografia ni safu ya [[milima ya Ural]] upande wa [[magharibi]], [[bahari ya Aktika]] kwa [[kaskazini]], [[Pasifiki]] katika Mashariki na nchi za [[Kazakhstan]], [[Mongolia]] na [[Uchina]] upande wa [[kusini]].
==Wakazi==
Idadi ya wakazi ni ndogo kuna milioni 23 pekee. Walio wengi ni Warusi (79%) wanaoishi mjini. Wakazi asilia (21%) ni vikundi vingi vidogo; walio wengi ni wasemaji wa [[lugha za Kituruki]]. Utamaduni wao ulikuwa uvindaji na ufugaji lakini ni wachache tu wanaoendelea hivyo.


==Hali ya hewa==
== Wakazi ==
Idadi ya wakazi ni ndogo: kuna milioni 23 pekee. Walio wengi ni [[Warusi]] (79%) wanaoishi mjini. Wakazi asilia (21%) ni vikundi vingi vidogo; walio wengi ni wasemaji wa [[lugha za Kiturki]]. [[Utamaduni]] wao ulikuwa [[uwindaji]] na [[ufugaji]] lakini sasa ni wachache tu wanaoendelea hivyo.
Hali ya hewa ya Siberia ni kali sana. Kipindi cha joto pana joto kali hadi +40 [[°C]] lakini kipindi cha baridi halijoto hushuka chini hadi -67 °C. Kijiji cha [[Oymyakon]] (katika jamhuri ya [[Sakha]]) ni mahali baridi duniani; -71.2°C zilipimwa hapa.


== Hali ya hewa ==
Kipindi cha baridi ni kirefu, kipindi cha joto ni kifupi. Sehemu kubwa ya Siberia inafunikwa na theluji kwa muda wa miezi tisa kila mwaka. Hivyo kilimo kinawezekana katika kanda nyembamba la kusini. Sehemu kubwa nchi imefunikwa na misitu. Lakini maeneo baridi sana ya kaskazini hapana miti tena ni manyasi na majani tu.
[[Hali ya hewa]] ya Siberia ni kali sana. [[Kipindi cha joto]] kina [[joto]] kali hadi +40 [[°C]], lakini [[kipindi cha baridi]] [[halijoto]] hushuka chini hadi -67 °C. [[Kijiji]] cha [[Oymyakon]] (katika jamhuri ya [[Sakha]]) ni mahali baridi duniani; -71.2 °C zilipimwa hapa.


Kipindi cha baridi ni kirefu, kipindi cha joto ni kifupi. Sehemu kubwa ya Siberia inafunikwa na [[theluji]] kwa muda wa miezi tisa kila [[mwaka]]. Hivyo [[kilimo]] kinawezekana katika kanda nyembamba la kusini. Sehemu kubwa nchi imefunikwa na [[misitu]]. Lakini maeneo baridi sana ya kaskazini hapana [[miti]] tena, ni [[manyasi]] na [[Jani|majani]] tu.
===Mito na maziwa===
=== Mito na maziwa ===
Siberia ina mito mingi mikubwa. Lakini huganda kabisa wakati wa baridi yaani kwa sehemu kubwa wa mwaka isipokuwa ile katika kusini.
Siberia ina [[mito]] mingi mikubwa. Lakini huganda kabisa wakati wa baridi, yaani kwa sehemu kubwa wa mwaka isipokuwa ile katika kusini.


*[[Mto Anabar]]
* [[Mto Anabar]]
*[[Mto Angara|Angara]]
* [[Mto Angara]]
*[[Mto Indigirka]]
* [[Mto Indigirka]]
*[[Mto Irtysh]]
* [[Irtysh|Mto Irtysh]]
*[[Mto Kolyma]]
* [[Mto Kolyma]]
*[[Baikal (ziwa)]]
* [[Baikal (ziwa)]]
*[[Mto Lena]]
* [[Mto Lena]]
*[[Mto Ob]]
* [[Mto Ob]]
*[[Mto Tunguska]]
* [[Tunguska ya chini|Mto Tunguska ya chini]]
*[[Uvs Nuur (ziwa)]]
* [[Uvs Nuur (ziwa)]]
*[[Mto Yana]]
* [[Mto Yana]]
*[[Mto Yenisei]]
* [[Mto Yenisei]]


===Milima===
=== Milima ===
*[[Milima ya Altai]]
* [[Milima ya Altai]]
*[[Milima ya Anadyr]]
* [[Milima ya Anadyr]]
*[[Milima ya Baikal]]
* [[Milima ya Baikal]]
*[[Milima ya Chamar-Daban]]
* [[Milima ya Chamar-Daban]]
*[[Milima ya Chersky]]
* [[Milima ya Chersky]]
*[[Milima ya Dzhugdzhur]]
* [[Milima ya Dzhugdzhur]]
*[[Milima ya Gydan]]
* [[Milima ya Gydan]]
*[[Milima ya Koryak]]
* [[Milima ya Koryak]]
*[[Milima ya Sayan]]
* [[Milima ya Sayan]]
*[[Milima ya Tannu-Ola]]
* [[Milima ya Tannu-Ola]]
*[[Milima ya Ural]]
* [[Milima ya Ural]]
*[[Milima ya Verkhoyansk]]
* [[Milima ya Verkhoyansk]]
*[[Milima ya Yablonoi]]
* [[Milima ya Yablonoi]]


{{Mbegu}}
{{Mbegu-jio-Urusi}}
{{urusi}}
[[Category:Urusi]]


[[ar:سيبيريا]]
[[Jamii:Urusi]]
[[ast:Siberia]]
[[Jamii:Siberia| ]]
[[ba:Себер]]
[[Jamii:Asia]]
[[bat-smg:Sėbėrs]]
[[be:Сібір]]
[[be-x-old:Сыбір]]
[[bg:Сибир]]
[[br:Siberia]]
[[bs:Sibir]]
[[ca:Sibèria]]
[[cs:Sibiř]]
[[cv:Çĕпĕр]]
[[cy:Siberia]]
[[da:Sibirien]]
[[de:Sibirien]]
[[el:Σιβηρία]]
[[en:Siberia]]
[[eo:Siberio]]
[[es:Siberia]]
[[et:Siber]]
[[eu:Siberia]]
[[fa:سیبری]]
[[fi:Siperia]]
[[fo:Siberia]]
[[fr:Sibérie]]
[[frp:Sibèrie]]
[[fy:Sibearje]]
[[gl:Siberia - Сибирь]]
[[he:סיביר]]
[[hr:Sibir]]
[[hu:Szibéria]]
[[id:Siberia]]
[[io:Siberia]]
[[is:Síbería]]
[[it:Siberia]]
[[ja:シベリア]]
[[ko:시베리아]]
[[ku:Sîbîrya]]
[[la:Siberia]]
[[lt:Sibiras]]
[[lv:Sibīrija]]
[[mk:Сибир]]
[[mr:सायबेरिया]]
[[ms:Siberia]]
[[nds:Sibirien]]
[[nds-nl:Siberie]]
[[nl:Siberië]]
[[nn:Sibir]]
[[no:Sibir]]
[[oc:Siberia]]
[[os:Сыбыр]]
[[pl:Syberia]]
[[pt:Sibéria]]
[[ro:Siberia]]
[[ru:Сибирь]]
[[sah:Сибиир]]
[[scn:Sibberia]]
[[sh:Sibir]]
[[simple:Siberia]]
[[sk:Sibír]]
[[sl:Sibirija]]
[[sr:Сибир]]
[[sv:Sibirien]]
[[ta:சைபீரியா]]
[[th:ไซบีเรีย]]
[[tl:Siberia]]
[[tr:Sibirya]]
[[tt:Seber]]
[[uk:Сибір]]
[[vi:Siberi]]
[[wa:Sibereye]]
[[zh:西伯利亚]]

Toleo la sasa la 13:12, 6 Novemba 2019

Eneo la Siberia: nyekundu yote; Jimbo la Siberia ndani ya shirikisho la Urusi: nyekundu nyeusi.

Siberia (kwa Kirusi: Сиби́рь, Sibir; kwa Kitartari: Seber) ni eneo kubwa mashariki mwa Urusi. Ni zaidi ya nusu ya eneo la Urusi wote. Eneo lake lote ni kilomita za mraba milioni 9.6 ambayo ni karibu sawa na Ulaya yote (km² milioni 10.6).

Maana ya Siberia[hariri | hariri chanzo]

Kuna namna mbalimbali ya kutaja mipaka ya "Siberia".

Mipaka ya Siberia ya kijiografia ni safu ya milima ya Ural upande wa magharibi, bahari ya Aktika kwa kaskazini, Pasifiki katika Mashariki na nchi za Kazakhstan, Mongolia na Uchina upande wa kusini.

Wakazi[hariri | hariri chanzo]

Idadi ya wakazi ni ndogo: kuna milioni 23 pekee. Walio wengi ni Warusi (79%) wanaoishi mjini. Wakazi asilia (21%) ni vikundi vingi vidogo; walio wengi ni wasemaji wa lugha za Kiturki. Utamaduni wao ulikuwa uwindaji na ufugaji lakini sasa ni wachache tu wanaoendelea hivyo.

Hali ya hewa[hariri | hariri chanzo]

Hali ya hewa ya Siberia ni kali sana. Kipindi cha joto kina joto kali hadi +40 °C, lakini kipindi cha baridi halijoto hushuka chini hadi -67 °C. Kijiji cha Oymyakon (katika jamhuri ya Sakha) ni mahali baridi duniani; -71.2 °C zilipimwa hapa.

Kipindi cha baridi ni kirefu, kipindi cha joto ni kifupi. Sehemu kubwa ya Siberia inafunikwa na theluji kwa muda wa miezi tisa kila mwaka. Hivyo kilimo kinawezekana katika kanda nyembamba la kusini. Sehemu kubwa nchi imefunikwa na misitu. Lakini maeneo baridi sana ya kaskazini hapana miti tena, ni manyasi na majani tu.

Mito na maziwa[hariri | hariri chanzo]

Siberia ina mito mingi mikubwa. Lakini huganda kabisa wakati wa baridi, yaani kwa sehemu kubwa wa mwaka isipokuwa ile katika kusini.

Milima[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Siberia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.