Pinterest Lite

Ina matangazo
3.6
Maoni elfu 134
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Vijana
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Pinterest Lite huokoa nafasi kwenye simu yako ili uweze kugundua kwa haraka mabilioni ya fursa za maisha yako. Tengeneza nafasi ya hifadhi ya ziada nyumbani, pata viungo vyako vipya uvipendavyo au pata mawazo ya mitindo kwenye Pinterest.

Sababu 3 za kuanza kupata na kuhifadhi mawazo kwenye Pinterest:

1. Gundua mambo ya kuvutia kila siku na ugundue makala kuhusu mada zinazovuma na zinazopendekezwa.
2. Shirikiana na marafiki kwa ajili ya safari yako ijayo, sherehe au mradi.
3. Je, umeona wazo unalolipenda ulimwenguni? Piga tu picha yake ukitumia Lenzi ya Pinterest Lens ili ufahamu jinsi ya kulinunua, kulitengeneza au kulifanya!

Gundua fursa mpya na uhifadhi unachopata. Pata mawazo ya kuvutia kutoka mahali popote kwenye intaneti.

Pata mawazo ya mada unazopendelea zaidi:
- Vidokezo vya usafiri na siha - Mitindo na miundo
- Usanifu majengo na ubunifu wa nyumba
- Chakula na mapishi
- Mambo ya kuvutia ya harusi

Pakua Pinterest Lite sasa ili uanze kugundua nafasi za mradi wako unaofuata.
Ilisasishwa tarehe
10 Apr 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine7
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

3.6
Maoni elfu 124

Mapya

Pinterest Lite inakupa mawazo yote ya kuvutia unayopenda kwenye Pinterest, katika programu inayochukua nafasi ndogo kwenye simu yako. Tupe maoni yako iwapo unapenda programu katika http://help.pinterest.com/contact