Tizi Mji Shule yangu Michezo

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.0
Maoni elfu 5.05
5M+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Karibu kwenye mji wa Tizi - Michezo ya Shule Yangu. Twende, shule ya mji imefunguliwa! Kengere inalia na darasa linakaribia kuanza. Tumia eleveta au panda ngazi. Ingia darasani na jifunze.furahia ukiwa unajifunza!

Vumbua maisha ya shule ya Tizi ndani ya mji wangu.kusanya tuzo zote na kuwa mshindi ndani ya Mji wa Tizi - Shule Yangu. Onyesha vikombe. Hifadhi vitabu vyako,mabegi, vyupa, na zaidi ndani ya chumba cha hifadhi!

Kuwa mwanayansi ndani ya mahabara ya kisayansi. Jifunze kuhusu mada ya sayansi kwa michezo ya furaha ya kisayansi kwaajili ya watoto. Kuwa mtaalamu wa anga. Jifunze kuhusu sayari na mfumo wa jua.jifunze galaksi ndani ya Mji wa Tizi dunia ya shule!

Kamilisha mafunzo ya jiografia. Fuvua ramani ya Dunia na tembelea sehemu tofauti. Safiri dunia ya mji wa tzi kwa michezo ya kusisimua ya shule!

Mji wa tizi viwanya vya michezo vya shule vipo wazi kwa wanafunzi wote! Jifunze na cheza michezo kama tenesi,basketiboli,badmintoni na zaidi. Michezo ya kujifunza na Kucheza

Vumbua na tatua mafumbo ya hesabu. Kuwa mbunifu! Tengeneza kazi yako maalumu ya sanaa ya origami. Pata ruhusa ya shule ya mji ya Tizi. Pakua sasa!
Ilisasishwa tarehe
5 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data

Ukadiriaji na maoni

4.1
Maoni elfu 4.23

Mapya

In this version, we have fixed annoying bugs and enhanced the performance of the app for the best gaming experience. Update the latest version now and create fun stories about school life.