Instagram

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.0
Maoni 154M
5B+
Vipakuliwa
Chaguo la Mhariri
Daraja la maudhui
Vijana
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Nyakati ndogo husababisha urafiki mkubwa. Shiriki yako kwenye Instagram.
- Kutoka kwa Meta

Ungana na marafiki, tafuta mashabiki wengine, na uone kile ambacho watu walio karibu nawe wanafanya na kuzingatia. Gundua mambo yanayokuvutia na uchapishe kinachoendelea, kuanzia matukio yako ya kila siku hadi mambo muhimu ya maisha.

Shiriki unachofanya na kutekeleza kwenye Insta®.
- Fuata marafiki ukiwa na Hadithi na Vidokezo ambavyo hupotea baada ya saa 24.
- Anzisha mazungumzo ya kikundi na ushiriki matukio ambayo hayajachujwa na Marafiki wako wa Karibu.
- Shiriki kumbukumbu kutoka kwa matukio ya hivi karibuni au safari katika Mlisho.
- Badilisha maisha yako kuwa filamu na ugundue video fupi za kuburudisha kwenye Instagram ukitumia Reels.
- Binafsisha machapisho yako na violezo vya kipekee, muziki, vibandiko na vichungi.

Ingia kwenye mambo yanayokuvutia.
- Tazama video kutoka kwa Watayarishi unaowapenda na ugundue maudhui mapya ambayo yamebinafsishwa kulingana na mambo yanayokuvutia.
- Pata msukumo wa picha na video kutoka kwa akaunti mpya katika Gundua.
- Gundua chapa na biashara ndogo ndogo, na ununue bidhaa ambazo zinafaa kwa mtindo wako wa kibinafsi.

Baadhi ya vipengele vya Instagram huenda visipatikane katika nchi au eneo lako.

Masharti na Sera - https://help.instagram.com/581066165581870

Sera ya Faragha ya Afya ya Mtumiaji: https://privacycenter.instagram.com/policies/health
Ilisasishwa tarehe
3 Jun 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Taarifa binafsi na Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine12
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.0
Maoni 149M